Nawezaje kuacha kuihubiri injiri ya Yesu. Maana ni kama moto uwakao ndani ya mifupa yangu wala siwezi kujizuia
Neno linasema...
" Nami nikisema, Sitamtaja( Hubiri na kufundisha neno la Mungu), wala sitasema tena kwa jina lake; basi, ndipo moyoni mwangu kumekuwamo kama moto uwakao, uliofungwa ndani ya mifupa yangu, nami nimechoka kwa kustahimili, wala siwezi kujizuia."
~Yeremia 20: 9.
" But if I say I’ll never mention the Lord or speak in his name, his word burns in my heart like a fire. It’s like a fire in my bones! I am worn out trying to hold it in! I can’t do it!"
I will Teach the word of God
in Church
in Facebook
in Twitter
in YouTube
in Radio
in Tv Station
in Public
in office
in school
in part of the world. etc.
To day
This Year 2017, The coming Year and all the days of my life.
Nothing will stop me to do what God LOVE.
______________________
Minister: Enoch Joseph
Life word Teaching Ministry
★2017
"It is the Spirit who gives life; the flesh profits nothing. The words that I speak to you are spirit, and they are life." ~John 6:63
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Urithi wa watumishi wa Mungu
URITHI WA WATUMISHI WA MUNGU. ------------------------------------------------------------ Hii wengi hawafahamu lakini leo fahamu japo k...

-
Bwana Yesu asifiwe sana! Leo nataka tujifunze juu ya “Mwongozo wa kutafakari na kuombea ndoto zenye UZINIFU AU UASHERATI ndani yake”....
-
SEMINA YA NENO LA MUNGU UWANJA WA TANGANYIKA PACKERS - DAR ES SALAAM MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE TAREHE 15 OKTOBA 2017 *SIKU YA NA...
-
Ninyi wenye kumkumbusha Bwana Juu ya Mambo yahusuyo, Maisha yenu, Familia zenu, Koo zenu, na Jamii zenu Msiwe na Kimya mpaka atakapo f...
No comments:
Post a Comment