Thursday, 7 September 2017

As far as U can see God is Going to Give U.


Katika Maisha Kuna watu Mungu atawaondoa katika maisha yako. Hawa wanaitwa akina Lutu. Hamtenganishwi ili Muache kuwasiliana na kusaidiana panapo Bidi kuna baraka na Urithi ambaoo Bwana hawez kukupa mpaka pale Mtakapo tenganishwa maana Baraka pia zinaweza sababisha Ugomvi mkubwa sana.
Nini nataka uone Upo wakati Bwana atakchukuwa na kukupeleka mahali Ambapo unapaswa kufanikiwa hapo. Sasa mafanikio yako iwe ya Mwilini au ya Rohoni yatategemea sana na Umbali unao ona. Mahali ulipo unaona nini?
Inawekana mahali ulipo Umezungukwa na mambo ambayo yanauwa imani yako na sasa una tazama kwa macho na siyo kwa imani. Kumbuka hii mwana wa ufalme. We see by Faith not by visual .
Neno linasema...
" I am giving all this land, as far as you can see, to you and your descendants as a permanent possession." Genesis 13:15
"maana nchi hii yote uionayo, nitakupa wewe na uzao wako hata milele."~ Mwanzo 13:15.
Nimependa neno la kiingereza "...as far as you can see... "
Na maswali ya kujiuliza ijapokuwa leo unapepeta ngano na watu wanakujuwa kama mpepeta ngano.
Unajiona upo wapi kesho?
Unajiona wapi 5years to come.
Unaona nini na nini Mbele?
Unaona mpaka wapi? Mashariki, Magharibi? Kaskazini na kusini?
Neno linasema... As far as u can see Mungu atakupatia Wewe na Familia Yako na vizazi vyako vyote.
Asubuhi ya leo Tazama Mashariki, Magharibi, kaskazini na kusini. Kwa kadri utakavyo ona Mungu atakupatia.
Unangaliaje?
Fursa gani za uchumi unaona?
Huduma yako unaona inakuwa kiasi gani?
e. t. c
Mungu kwa neno hili Omba anakwenda kukupatia.
Amen.
______
Minister: Enoch Joseph
Life word Ministry
©2017

No comments:

Post a Comment

Urithi wa watumishi wa Mungu

URITHI WA WATUMISHI WA MUNGU. ------------------------------------------------------------ Hii wengi hawafahamu lakini leo fahamu japo k...