Neno linasema...
"Upepo huvuma po pote upendapo. Mvumo wake unausikia lakini huwezi
ukafahamu utokako wala uen dako. Ndivyo ilivyo kwa kila mtu aliyezaliwa
kwa Roho.”
~ Yohana 3:8
Kama unajuwa fika ya kwamba umezaliwa kwa Roho Mtakatifu. Nakusihi katika Jina lake Yesu. Usifurahiye na kuwaonesha watu Mimbango yako ya siri na Maono uliyo nayo kwa kuwaonesha wapi unatoka na wapi unako elekea.
Watu wasikie Mvumo wako lakini wasijuwe unatoka wapi na unakwenda wapi.
Wafalme walisikia uvumi wa kuzaliwa kwa Yesu lakini hawakujuwa ni wapi alipo zaliwa . Kama upepo Yesu aliondolewa mahali alipo kuwa na kuelekea mahali kwingine kwa siri.
Walikusudia kumuuwa na kwasababu hiyo waliuwa watoto wengi kwa kukisia kwani ni vigumu kuushika upepo.
Maisha yako yawe kama upepo wasijuwe utokako na wasijuwe uendako.
Maana wakijuwa watauwa kilakitu chako.
Kuwa mwangalifu sana.
Hekima Ya Mungu yafaa kukuongaza,
Hekima yafaa kuongoza.
_______________
Minister: Enoch Joseph
Life word Ministry
®2017

No comments:
Post a Comment