Neno linasema...
"Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa
jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia."
~ Yohana 14:26.
Ni jambo Moja kwa mtoto wako kumlipi ada ya shule. Pia ni Jambo moja kuhudhulia masomo na kusoma.
Usilo lijuwa ni kwamba wapo walio kazini wanao tumia fahamu za watoto wengine, wapo wanao ondoa kumbukumbu kwa watoto na wapo wasababishao magonjwa na uchovu.
Lakini ashukuriwe Mungu kwakuwa watoto wako watafundishwa na Bwana.
Na Mungu Roho Mtakatifu atawakumbusha Yote walio jifunza darasani na kuwafanikisha katika mitihani yao. Katika Jina la Yesu.
Nimaombi yangu watoto wako Mungu Roho Mtakatifu akawakumbushe yote waliyo Jifunza na Kufanikiwa kupata alama za juu za ufaulu.
Amen.
Imekuwa katika Jina la Yesu.
____________________
Minister: Enoch Joseph
Life word Ministry
0686909191
®2017

No comments:
Post a Comment